Mark 16:12-13

Yesu Awatokea Wanafunzi Wawili

(Luka 24:13-35)

12 aBaadaye Yesu akawatokea wawili miongoni mwa wanafunzi wake walipokuwa wakienda shambani akiwa katika sura nyingine. 13Nao wakarudi na kuwaambia wenzao. Lakini hawakuwasadiki wao pia.

Copyright information for SwhNEN